Mama Salma Kikwete, ambaye pia ni mwanzilishi wa organization inayosaidia wanawake na watoto iitwayo, Wanawake na Maendeleo (WAMA) akiandika kitabu cha wageni ubalozi wa Tanzania Washington DC siku alipokutana na wakima mama wa DMV ili kupata nao chakula cha mchana na kupata nao maongezi kidogo. Shughuli hiyo iliandaliwa na Ubalozi wa Tanzania Washington DC wakishirikiana na wakina dada wa TANO Ladies.
Mama Salma Kikwete akiwaeleza jambo wakina mama wa DMV siku alipokutana nao kwa chakula cha mchana na kupata nao maongezi kigodo. Shughuli hiyo iliandaliwa na Ubalozi wa Tanzania Washington DC wakishirikiana na wakina dada wa TANO Ladies.
Mama Salma Kikwete akipiga picha ya pamoja na wakina dada wa TANO Ladies na Mama Munanka kutoka ubalozi wa Tanzania Washington DC na Rosemary Jairo kutoka kitengo cha Diaspora, wizara ya mambo ya nje.
Kwa picha zaidi tafadhali mtembelee IskaJoJo hapa
No comments:
Post a Comment