ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 4, 2014

NYOMI ALIYOWEKA RAIS KIKWETE JANA YAMPA MAVUMBA MH IDD SANDALI KWENYE NYAMA CHOMA, YAVUNJA RECORD LEO HUKO MEADBROOK, MARYLAND

Nderemo, vigelegele, chereko na makofi vilinguruma baada kuwahakikishia wana DMV ambacho anatarajia kukifanya na yeye ndiye rais kwa kipindi chengine kijacho
Muheshimiwa Idd Sandali akiwa na kampeni meneja wake bwana Ali RAmashani aka tumbo au bambino katika nyama choma iliyofanyika meadbrook, Maryland
Mheshimiwa Idd Sandali aliwa na bwana Kenyata Mayanga viwanjani hapo nyama choma ilipolika
Baadhi ya wagombea uongozi wa jumuiya ya DMV, waliobahatika kufika kuomba kura, wakiwa mbele ya wana DMV kueleza kile watakacho watendea watanzania hao
Chini na juu ni dada yetu dada Salma Manyoka na pia mgombea umakamo wa rais akitoa sera kwa wpoiga kura, kama kawaida yake hachelewi kuwavunja mbavu watu kwa kicheko
Mgombea makamo urais dada Hariett Shangerai akimwa sera zake kwa wapiga kura hapo kwenye nyama choma iliyotayarishwa na Mh. Idd Sandali hapo meadbrook MD
Dada Benadeta Kaiza mgombea ukatibu wa jumuiya ya DMV moja katika sera zake kwamba darasa la Kiswahili kwa watoto wa watanzania itaendelea kuwepo chini ya walimu waliopewa taaluma maalum ya Kiswahili
Said Mwamende hakuwa nyuma kutumia fursa hii kumwaga sera zake na kuwahakikishia wana DMV kile kinachohitajika katika jumuiya. Kwa pichaa zaidi nenda soma zaidi






No comments: