Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Iddi Sandaly akipata mawili matatu kutoka kwa mshauli wake maswala ya uchaguzi kabla hajaanza kuhutubia katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika siku ya Jumampili Aug 3, 2014 Meadowbrook Park, Chevy Chase, Maryland nchini Marekani na kuhudhuliwa na WanaDMV na marafiki zao akiwemo mwananmuziki wa kizazi kipya Mwana FA. Bwn Idd Sandaly anagombea tena kiti hicho kwenye uchaguzi wa Jumuiya ya Watanzania DMV utakaofanyika Jumampili hii Aug 9, 2014.
Rais wa Jumuiya Bwn. Iddi Sandaly akijinadi kwa WanaDMV katika mkutano wake wa kampeni uliofanyia siku ya Jumapili Aug 3, 2014 na kuhudhuriwa na WanaDMV na marafiki zao akiwemo mwanamuziki wa kiazi kipya Mwana FA.
WanaDMV wakiendelea kimsikiliza Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV alipokua akijinadi kwa ajili ya kugombea tena nafasi ya Urais wa Jumuiya ya DMV.
WanaDMV wakifurahia jambo kwenye mkutano wa kampeni wa Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV bwn. Iddi Sandaly alipokuwa akijinadi katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika siku ya Jumapili Aug 3, 2014 kwenye viwanja vya Meadowbrook Park iliyopo Chevy Chase, Maryland nchni Marekani.
WanaDMV wakijumuika pamoja kwenye mkutano wa kampeni wa Rais wa Jumuiya bwn. Iddi Sandaly uliofanyika siku ya Jumapili Chevy Chase, Maryland, nchini Marekani.
Mwanamuziki wa kizazi kipya Mwana FA watatu toka kushoto akiwa na wadau waliohudhuria mkutano wa kampeni wa Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV bwn. Iddi Sandaly anayegombea tena katika uchaguzi utakaofanyika siku ya Jumapili Aug 9, 2014. Picha na Aloyce Mbullu mwakilishi wa Vijimambo Maryland.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi