Ndugu wanamfuko
Tunasikiika kuwataarifu kuwa mwanamfuko mwenzetu Jimmy Msemo amefiwa na mtoto wake wa kwanza "Jerry James Msemo".Jimmy anatarajia kwenda nyumbani-Tanzania Kesho asubuhi kushughulikia mipango ya mazishi.Kama desturi yetu wanamfuko kumfajiri mwenzetu katika kipindi kigumu. Jimmy atakuwepo nyumbani kwake, katika anuani ifuatayo na namba yake ya simu
1061 BAYRIDGE DR
LEWIS CENTER
OHIO 43035
TELL:330-685-8625
" BWANA AMETOA ,BWANA AMETWAA'
No comments:
Post a Comment