ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 4, 2014

TONY PARKER MCHEZAJI WA SAN ANTONIO SPURS AFUNGA NDOA NA MCHUMBA WAKE WEEKEND SAMBAMBA NA KUSHEREHEKEA MKATABA MPYA NA TIMU YAKE YA SPURS

Tony Parker akiwa na mke wake Axelle Francine ambae sasa ni mke baada ya kufunganae ndoa weekend hii, Tony Park na axelle walianza uchumba wao toka 2011 na wamezaa mtoto mmoja. Kabla ya kuwa na Axelle, Tony alikuwa na mahusiano na Eva Longoria yaliyovunyika 2011. Tony Parker amefunga ndoa hiyo huku akisherehekea mkataba  wake mpya na timu yake ya spurs wenye thamani ya $43.3 Mil kwa miaka mitatu. sherehe hizo zilianza toka Alhamis kwenye ukumbi wa Cowboy Dancehall San Antonio na kufikia tamati weekend.
Tony Parker akiwa kazini hapa na timu yake ya San Antonio Spurs ambao ndiyo mabingwa wa NBA.

Hapa ni Tony Parker akiwa na ex wake Eva Longoria  enzi hizo kabla hawajamwagana 2011 mapenzi ya Tony na Eva yalianza kuchomoza mwaka 2007.
Eva Longoria sasa yupo ndani ya mahaba niue na Jose Antonio Boston.

No comments: