Meneja wa Mirror na wasanii wa Endless Fame, Petit Man (kushoto) akimvalisha pete ya ndoa dada yake na Diamond Platnumz aitwaye Esma usiku wa kuamkia leo.
Mama mzazi wa Diamond Platnumz na Esma, Sanura Kassim 'Sandra' (katikati) akiwa katika pozi na wanandoa hao.
Meneja wa Mirror na wasanii wa Endless Fame, Petit Man, amefunga ndoa ya Kiislamu na dada wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz aitwaye Esma usiku wa kuamkia leo.
No comments:
Post a Comment