Advertisements

Friday, September 12, 2014

KUVAA SHANGA MIGUU AU VIKUKU KWA MWANAMKE KUNA MAANA YOYOTE MBAYA? KUVAA SHANGA MIGUU AU VIKUKU KWA MWANAMKE KUNA MAANA YOYOTE MBAYA?

Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu urembo huu wa kuvaa cheni za miguuni.
 Wengi wamekuwa wakisema kuwa cheni hizo zinamaanisha kwamba mvaaji anaonyesha kwamba yeye anaweza mapenzi ya kinyume na maumbile, au analika pande zote tetesi hizi zimeleta mchanganyiko kidogo kwenye urembo huu.
Watu wengine wamediriki hata kukataza kabisa wapenzi wao wasivae urembo huo, mimi binafsi siwezi kuongozana na mtu amevaa kitu kama hicho. Haya sasa kazi kwako mdau, wewe unaonaje ni sawa urembo huo kutumika, na je mwenza wako akivaa urembo huo, utaafiki?

10 comments:

Anonymous said...

mimi sijasikia hivyo ila niliwahi kusoma pahali kuna kaji historia huko zamani wanawake wanaojiuza walikuwa wana vaaga hizo chain miguuni/vikuku ili kuashiria kwamba yeye mama poa akiwa mtaani mtu akiona tu ile chaini/kikuku chake anakwenda na kumchukua bila hata kumuliza kwa sababu ndo kasha taangaza yeye yuko hapo kibiashara.
lakini mengi tu yanasemwaga jamani, unaweza ukawa umevaa tu kiurebo mtu kumbe wala huna lina wala hili/meaning huyaganya haya mambo.
kama kipini cha pua watu wanasema wanawake wengi mashangingi wanakivaaga hicho kipini cha pua,lakini inawezekana wewe ukava tu kiurembo tu na wala huna hili wala lile,

jamani mengi tu yanasemwaga, unaweza ukawa umevaa vitu hivyo tu kiurebo na endeleeni tu kuvaaga wakina dada zetu msijali jamani.kwa sababu unaweza tu ukava unaa tu wewe kiurembo na mwanamke urembo usisikiye.so watu wasikutiye pressure bure, vaani tu jamani.kwa sababu nawajua wakina dada wengu tu wanao vaa maa hivyo na wametulia na wala hawana tabia hizo.

duniani kuna mengi na mengi yanasemwagwa vaani tu wasikuzingueni watu bwana,tabia ya mtu utamuona tu akiwa nayo hafichiki hata asipo vaa hivyo vitu akiwa na tabia hivyo utamuona tu au kuna siku utakuja kumfuma tu.

vaanie vaneni bwana msijali,msihofu life is to short,furaha unajipa mwenyewe jifurahishe nafsi yako kwa raha zako.

Anonymous said...

Watu wanaouliza na kufuatilia mambo hayo hawana shughuli za kufanya. Mtu anayewaza maendeleo hana muda wa kuangalia nani kavaa vikuku.

Anonymous said...

Sasa kwa wamasai na wahindi ambao ni mila zao mtasema hivyo pia?

Anonymous said...

wahindi wanazo mila hizo kuna mitaa huko Bombay wanawake wanajiuza na wanavaa hivyo vijunguri vyao hata kwenye movie zao si mnaonaga kwanza unapigwa pigwa kaamgu kaleee unadhani kanaashiria nini?
kwa wa masaaiii itabidi tuwachunguze.


usidharau wenzako ukawaona hanawa kazi za kufanya, wenzako humu ndani ya blog wanaotoa comment wanaweza wakawaaaa wanamaliza shughuli zao za kimaisha halafu wanakuja kujiburudisha kwa vijimambo vya hapa na pale na huenda wakawa wana kupita kimaisha wewe huwezi juwa so kuwa mstaarabu na kauli zako,na acha zarau mkuu.Dunia mapito.


maendeleo hayaji hiyo kazi na dawa,shughuli na starehe.

ndo nyinyi baadaye mnapata ma stress ya kiwazimu wazimu, halafu mnapo zidiwa na hayao mastress ya kiwazimu wazimu mnakuwa so depressed na mihasira na chuki moyoni kila wakati. yote haya kujifanya mko busy na kutafuta maendeleo.

Tafuta maendeleo na pia weka time ya kujimwaga kwa burudani yeyote ile,upate faraja moyoni usiwaona wenzako wajinga kuja kusoma habari hizi katika vijimambo.

kama uko so busy mbona umejibu comment au mchango wako uko katika kujumuisha katika kushughulikia maendeleo yako. Acha zako hizooo za mitaaa.

next time usitoe comment zako kwa sababu wewe msaka maandeleo na tuachiye sisi( unavyodhani wewe) kwamba hatuna kazi za kufanya za kutafuta hayo maendeleo.

kuwa mstarabu usijifanye wa maana sana kumbe huna lako jambo kanyaboya tu weweeeeee....

Anonymous said...

Wamarekani wameendelea kwa sababu hawana muda wa kuangalia vikuku wala kusoma maneno yaliyoandikwa kwenye kanga.

Anonymous said...

naomba tafsiri ya maendeleo ya wamarekani,kielimu,kiuchumi,kitechnologia,kiafya,kujali utuu wa ubinadamu,
funuka zaini mkuu maendeleo ya marekani ni yapi,tuelimishe na sisi yajue nakama ukiwa na fact tutashukuru.

na kumbuka kidole kimoja hakivunji chawa.

marekani watakuwa wameendelea kwa sababu pia ni nchi imejegwa na wahamiaji.wazalendo wao wanavuta bangi na ungaaa kila kukichaaaa.

Unknown said...

Jaman kuvaa vikuku mi naona ni urembo wa.mwanamke bas kama maan ni kujiuza wamasai wote wanajiuza na waindi wote wanajiuza maana zimekuwa nyingi kila mt anafanya kit kwa iman yake na sio kuangalia nani anasema nin wanawake tuna miurembo mingi jaman mtuache tupendeze acheni wivu

Unknown said...

Nikweli jaman tuache hayo mamb yafikra potofu

Anonymous said...

Ok is ok brother

Anonymous said...

Umenufaika nn wew na wamerekani ila sema hujui kufkiri