Balozi wa Ufaransa aliyemaliza muda wake hapa nchini Bw.Marcel Escure (wapili kushoto), akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Dk. Eng Binilith Satano Mahenge, alipokwenda kumuaga ofisini kwake mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam na kumtambulisha mkuu wa mahusiano mpya bwana Philippe Boncour (watatu kushoto) atakayekuwepo hapa Nchini . Wakwanza kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk. Julius Ningu.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake