Meza kuu ikiwa imepambwa na viongozi mbalimbali kwaajili ya kupokea msaada wa madawati
Meya wa manispaa ya Ilala Jerry silaa akabidhi msaada wa madawati mia moja katika shule ya msingi kivule iliyopo jijini dar es salaam ikiwa ni mpango aliouanzisha na kuanza kuutekeleza kupitia (meya boll) katika mpango huo madawati hayo yamekabidhiwa kwa mwalimu mkuu wa shue hiyo pamoja na diwani wa kata ya kivule na afisa elimu wa manispaa ya ilala walikuwepo katika shuguli hiyo ya kupokea msaada huo Jana
Meya wa manispaa ya Ilala Jerry silaa akabidhi msaada wa madawati mia moja katika shule ya msingi kivule iliyopo jijini dar es salaam ikiwa ni mpango aliouanzisha na kuanza kuutekeleza kupitia (meya boll) katika mpango huo madawati hayo yamekabidhiwa kwa mwalimu mkuu wa shue hiyo pamoja na diwani wa kata ya kivule na afisa elimu wa manispaa ya ilala walikuwepo katika shuguli hiyo ya kupokea msaada huo Jana
Bw.Nyansika G Motena ambaye ni Diwani wa kata ya kivule katika halmashauri ya ilala akiongea machache kumkaribisha mstahiki meya
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi kivule akisoma Risala ya shule hiyo kabla ya kukabidhiwa msaada wa madawati
Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa akizungumza mara baada ya kupokea risala iliyo somwa na Mkuu wa shule ya kivule
Mstahiki Jerry Silaa meya wa Ilala akimkabidhi msaada huo wa madawati mia moja (100) mwalimu mkuu wa shule ya msingi kivule
Mstahiki Jerry Silaa meya wa Ilala akipeana mkono wa shukrani na mratibu Bw.Mkami Sudayi
Diwani wa kata ya kivule Bw.Nyansika Motena akitoa shukrani kwa meya mara baada ya kukabidhiwa msaada huo
Afisa elimu wa Ilala Bi. Bi Elizabeth Thomas naye pia aliungana na wenzake kuweza kumpa mkono meya wa ilala Jerry Silaa
Waalimu wa shule ya kivule wa kiwa katika picha ya pamoja na Mh.Jerry Silaa mara baada ya kukabidhiwa madawati hayo
Wanafunzi wakishangilia kwa furaha na meya wakiwa wamekabidhiwa msaada huo wa dawati miamoja
picha Jerry Silaa meya wa Ilala akiwa na daadhi ya viongozi na wanafunzi
Afisa Elimu wa Manispaa ya Ilala, Bi Elizabeth Thomas akiongea maneno ya shukrani kwa meya mara baada ya shughuli ya kukabidhi kumalizika
Mwanafunzi Frednand chales akiongea maneno ya shukrani kwa meya mara baada ya shughuli ya kukabidhi kumalizika
Kwenye picha ni baadhi ya madawati yaliyotolewa na Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa katika shule ya kivule iliyopo manispaa ya Ilaa jijini Dar es Salaam
baadhi ya wanafunzi wakiwa wanaendelea kusikiliza tukio liendavyo
Kikundi cha ngoma cha makirikiri kilichoundwa na wanafunzi kwaajiri ya kusherehesha katika sherehe hiyo ua kukabidhi madawati mkatika shule ya kivule
Burudani ikiwa imepamba moto kwa kusherehesha wahudhuriaji na kikundi hicho
kauli iliyopo katika madawati hayo
kundi la burudani ka kikulwa likiwa linatoa burudani wakati wa kukabidhi madawati hayo
Mh:Jerry Silaa akiwa ameongozana wa viongozi mbalimbali walio kuwepo katika shughuli hiyo kwenda kukagua madarasa mawili mapya yaliyo jengwa hivi karibuni
Akizungumza na viongozi hao mara baada ya kuangalia madarasa hayo ambayo nayo ameshirika katika kuchangia wakati wa ujenzi
haya ndiyo madarasa ya vyumba viwili mapya yaliyo jengwa hivi karibuni katika shule ya kivule
Akikabidhi madawati hayo MH:Jerry Silaa amewaasa kuwa
hata yeye alikuwa anasoma na anakaa chini lakini kwa kizazi cha sasa yatupasa
tubadilike hiyo hatapenda kuona watoto wakiendelea kukaa chini na kusoma katika mazingira magumu kama aliyo
weza kusoma yeye kwahiyo kwa moyo wake
anarudisha fadhira kwa watanzania kwa
kushirikiana na wadau mbal;imbali kwa misaada tofautitofauti katika kipindi
chake cha uongozi kwa nafasi ya meya
Aidha muheshimiwa aliweza kuwafafanulia baadhi ya watu walio
weza kufika katika hafra ya kukabidhi madawati kwa shule ya kivule kwamba kodi
za pango zinavyo kusanywa huwa haziliwi na mtu zaidi ya kutatua matatizo katika
sehemu mbalimbali ya halmashauri kwahiyo aliwaomba watu wote wasiwe na imani ya
kuliwa kwa fedha hizo bali watambue zinakazi nyingi na tofauti tofauti katika
halmashauri husika
Naye mwalimu mkuu wa shule ya kivule wakati akisoma risala
waliyo iandaa kwaajiri ya shughuli hiyo alisema shule ya kivule inawanafunzi
wengi ambao ni takribani ya wanafunzi 2020 ambapo inakabiriwa na changamoto
mbalimbali ikiwemo ya ukosefu wa madawati ,matundu ya vyoo,nyumba za walimu
ambapo kwa sasa kuna nyumba moja tu,waalimu wa masomo mbalimbali pamoja na
vifaa vya kufundishia hususani somo la
Tehama,hivyo kupelekea waalimu kutumia nguvu katika ufundishaji
Bw.kubilu Lupembe Dede
ambaye ni mwalimu mkuu wa shule ya kivule ametoa shukrani za dhati kwa
mstahiki meya wa ilala Jerry Silaa
ambapo ameonesha nia ya dhati katika kufanikisha elimu inasonga mbele kwa
kujitoa sehemu mbalimbali na kuwa karibu
na jamii
Pia diwani wa kata ya kivule Bw.Nyansika.G.Motena ametoa
shukrani kwa niaba ya wananchi wote kwa kile anacho kifanya mheshimiwa meya wa
ilala Jerry Silaa ameweza kukifany ana kusema inapaswa kuwa kiongozi wa mfano kwa wengine
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake