Chakula na vinywaji mchana na usiku vitauzwa kwa bei nafuu kuchangia kupambana na ujangili Tanzania
Chakula cha mchana kitakachoanzia na kifungua kinywa kiaandaliwa na Mpishi Shabani
Chakula cha mchana kitakachoanzia na kifungua kinywa kiaandaliwa na Mpishi Shabani
MENU YA MCHANA
Break fast package:
.chai ya viungo.
.maandazi mawili (2),
.kitumbua kimoja(1).
.chapati ya nguvu(1).
Kwa. bei ya $6.00
Lunh package.
.pilau ya kuku.
.kachumbari.
.njegele(zilizopikwa na special recipe)
Kwa bei ya $10.00
Pia kutakuwa na.
Mishikaki. Ya ng'o,mbe
(2)skwers kwa bei ya$6.50.
.beef samosas pia kwa bei ya @$1.50
Break fast package:
.chai ya viungo.
.maandazi mawili (2),
.kitumbua kimoja(1).
.chapati ya nguvu(1).
Kwa. bei ya $6.00
Lunh package.
.pilau ya kuku.
.kachumbari.
.njegele(zilizopikwa na special recipe)
Kwa bei ya $10.00
Pia kutakuwa na.
Mishikaki. Ya ng'o,mbe
(2)skwers kwa bei ya$6.50.
.beef samosas pia kwa bei ya @$1.50
Chakula cha usiku kitaandaliwa na Mpishi Edah Gachuma
MENU YA USIKU
Sambusa $1.50,
chapati $2.00,
ugali samaki na mboga za majani $ 10
chai maandazi $ 3.00,
ndizi ng'ombe $ 10,
mbuzi wa kukaanga plantain and kachumbari $10
Uvaaji: mchana Kitanzania Zaidi
Usiku: Vaa upendeze ni kuruka rumba mapaka asubuhi.
MENU YA USIKU
Sambusa $1.50,
chapati $2.00,
ugali samaki na mboga za majani $ 10
chai maandazi $ 3.00,
ndizi ng'ombe $ 10,
mbuzi wa kukaanga plantain and kachumbari $10
VINYWAJI USIKU
BIA $3,
WINE $3,
VILEO VIKALI $3
SODA NA MAJI $1
HII NI MCHANGO WA KUSAIDIA KUPIGANA NA UJANGILI WA WANYAMA PORI
Usiku: Vaa upendeze ni kuruka rumba mapaka asubuhi.
KaRiBu
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake