Katibu wa CCM DMV Jessica Mushala akisherehesha USIKU WA JAKAYA
Dr. Seche Malecela akisoma lisala
Mwenyekiti wa CCM DMV Ndg. George Sebo akionea machache na kumshukuru Rais Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete kwa kukubali mwaliko wao wa USIKU WA JAKAYA
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akionge machache.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akiongea na Watanzania wa Marekani kwenye USIKU WA JAKAYA alipoaanza na historia ya kwanini aliamua kuwania Urais na sababu alizotoa ilikua alisema ilikua ni msukumo wa maswahiba wake na kuhakikisha anaimarisha umoja wa Watanzania kuanzia makabila 120 Dini mpaka muungano huku akifanya kila liwezekanalo katika kuwaletea maendelea wanachi wake.
Balozi wa AU Mhe. Amina Salum Ali akiezelea ni jinsi gani Rais Jakaya Kikwete anavyoheshima African Union na kumuelezea ni kiongozi mwenye upeo wa hali ya juu.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani akimpongeza Bi Loveness Mamuya kwa kufanikisha USIKU WA JAKAYA
1 comment:
Do hii pati ilikuwa ya ubaguzi kweli,wana ccm tu,Je ambao hatuna kadi na Huyu ni rahisi wetu pia.
Post a Comment