ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 13, 2014

VIONGOZI WA NEW YORK TANZANIA COMMUNITY WAKIKARIBISHWA NDANI YA UBALOZI NEW YORK CITY.

Viongozi wa NYCT wakikaribishwa na Ubalozini New York Tayari kwa kikao cha kujua maendelea ya Community ya New York. Viongozi wa Community walipata nafasi ya kujieleza kwa kina juu ya mwenendo mzima wa Community na kutoa mikakati ya nini kifanyike kuhakikisha Community inakuwa imara na kuwa mfano wa Community zingine. 
Hapa wakipata ukodak kabla ya kikao kuanza Mh. Balozi Tuvako Manongi Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, New York. ndiyo alikuwa amewakaribisha viongozi hao wa Community na kuongea nao juu ya maendelea ya Community New York. Licha ya Mh. Manongi pia kulikuwepo na maafisa wengine wa Ubalozi hapo.



1 comment:

Anonymous said...

Mhe Balozi tunakushukuru. Saidia uongozi huu wa Jumuiya yetu kuweka mbele maslahi ya jumuiya