Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini, Mhe. Mark Childress alipofika Wizarani kwa ajili ya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani na kukumbuka Wahanga wa tukio la kigaidi lililotokea Marekani miaka 13 iliyopita (September 11). Mazungumzo yao yalifanyika tarehe 11 Septemba 2014.
Mhe. Membe akimweleza jambo Balozi Childress wakati wa mazungumzo yao.
Balozi Childress pamoja na Bw. Vincent Spera, Afisa kutoka Ubalozi wa Marekani wakimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani)
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake