Monday, October 27, 2014

Maendeleo ya Msiba wa Mama Maleko Lema

Ndugu ,Jamaa na Marafiki .
Tunasikitika kuwataarifu ya kuwa Mama Mzazi wa Cuthbert (CM) na Martha Lema amefariki dunia jana usiku Arusha Tanzania.Mazishi yatafanyika alhamis kule Machame ,Tanzania .

Kwa Marekani,Msiba utakuwepo nyumbani kwa CM & Martha huko Apple Valley -Minnesota.
Adress:
15483 Flight Way,
Apple Valley MN 55124.

 Kama ilivyo desturi yetu,tunaendelea kukutanika nyumbani kwao  ili kuwafariji na kuleta rambi rambi zetu kwa pamoja.

Jumatano 10/29/14 kutakuwa na Ibada maalum ya kuomba pamoja na familia ya Lema na kuwafariji.
Wote tunaombwa tufike kushirikiana na wenzetu kuanzia saa kumi na mbili jioni(6pm).

Kwa walio nje ya minnesota,Unaweza kuweka mchango wako/rambi-rambi kwenye bank account ifuatayo:-

Martha Muwowo,
Wellsfargo Bank
Account  # : 2557793151.

Kwa taarifa zaidi,unaweza kuwasiliana na wafuatao:-
CM & Martha 952-564-1820
Nevile & Jaha Lema 612-964-4218.
Joel  Mburu 952-217-0265
Charles Semakula 952-465-1130.
Mama Alan 651-329-1421.
January Mwita 651-500-3630.
Jackson Mollel 651-334-0163

Tafadhali tunaomba uwajulishe na wengine taarifa hizi,

Bwana Alitoa,Bwana Ametwaa,Jina la Bwana Libarikiwe,

Ahsanteni,
Kwa niaba ya familia ya Maleko Lema,
CM & Martha Lema.

No comments: