Mama Bishanga na mfanya kazi mwenzake kutoka Liberia wanonekana wakiwa kazini, wakifurahia uamuzi wa madaktari watano wa Tanzania wanokwenda kuongeza nguvu ya kusaidia kuwatibu raia wa Liberia, baada ya kusoma taarifa hizo kwenye magazeti ya Tanzania. Julie Blanton ambae alikuja Amerika miaka mingi mara baada ya vita iliotokea Liberia miaka ya themanini na tisini, huwa anenda kwao kila mwaka kusalimia ndugu zake. Julie ameshukru sana Rais Kikwete na watanzania kwa ujumla kwa moyo wao wa upendo na kusaidia nchi nyingine tangia miaka sana iliopita katika Nyanja mbali mbali. kasema GOD BLESS ALL TANZANIANS.
Pili: mimi Mama Bishanga na shost yangu Julie tuwapa herI ya kuzaliwa/ happy birth day kwa mwanetu Kenny @ Henrich na Raisi Kikwete, Bishop Desmund Tutu na wote waliozaliwa tarehe saba mwezi huu wa octoba, Mungu awaongezee upendo na nguvu ya kufanya kazi na kulitumikia taifa.
No comments:
Post a Comment