ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 12, 2014

Mhe.Balozi Liberata Mulamula akutana na Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Taifa Mhe.Mboni Mohamed Mhita Ubalozini Tanzania, Washington DC


Mhe.Liberata Mulamula akiwa katika picha pamoja na Mhe.Mboni Mhita (juu) na chini Mhe.Balozi Libearata Mulamula (katikati) katika picha ya kumbukumbu na Mhe.Mboni Mhita Kulia na Bibi Loveness Mamuya kushoto baada ya Mhe.Mulamula kufanya mazungumzo na Mhe.Mboni.

No comments: