ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 13, 2014

MIRIAM KINUNDA NA UPISHI WAKE WA KABICHI ( CABBAGE)

Kila siku ya Alhamisi Vujimambo itawaletea video za mapishi mbalimbali kutoka kwa mwanadada Miriam Kinunda aliyeandika kitabu cha mapishi cha Taste Of Tanzania, Mapishi yote utakayoyaona ndani ya video zake, maelekezo yote yanapatikana ndani ya kitabu chake hicho cha Taste of Tanzania Karibu angalia Video na huenda ukaambulia mawili matatu.


No comments: