Miss Ilala 2014 Jihan Dimack, akiwagawia chakula watoto wanaolelewa na kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwana Orphans Centre kilichopoVingunguti jijini Dar es Salaam katika hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika juzi katika hoteliya Cape Town Fish Market.
No comments:
Post a Comment