ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 25, 2014

TUZO ZA FILAMU TANZANIA ZAZINDULIWA RASMI

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel, akiongea neno wakati wa uzinduzi wa Tuzo za filamu Tanzania chini ya Shirikisho la Filamu Tanzania.
Raisi wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba akielezea jambo katika hafla za uzinduzi wa Tuzo za Filamu Tnzania zilizofanyia mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Lulu akipozi kwa picha katika uzinduzi huo.
Kelvin akiwa katika zulia jekundu la uzinduzi huo.
Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Habari, vijana, utamaduni na michezo Prof. Elisante Ole Gabriel, akiteta jambo na Raisi wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba.
Wasanii wakipiga picha ya pamoja.
Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Habari, vijana, utamaduni na michezo Prof. Elisante Ole Gabriel katika picha ya pamoja na baadhi ya wasanii wa tasnia ya filamu nchini.
Wasanii wa Filamu Tanzania wakiwa katika furaha baada ya kuzinduliwa kwa Tuzo.

No comments: