ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 12, 2014

UNAWEZA KUMTUMIA UJUMBE RAIS JAKAYA KIKWETE KUMJULIA HALI KWENYE NAMBA YAKE HAPO CHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Kikwete ametoa namba yake maalum kwa wananchi waweze kumtumia ujumbe wa SMS kumjulia hali na kumpa pole, Mhe. Rais atapokea ujumbe wako na kuujibu.

1 comment:

Anonymous said...

ahsante sana dj luke kwa number ya mkuu wa kaya.ahsante sana kwa kukisikia kilo change.