Rahim Kangezi Mtanzania anayeishi Seattle jimbo la Washingon nchini Marekami akiwa mji wa Kerbala nchini Iraq atkitoa salam za Uhuru miaka 53 wakati alipokua mji huo wa Kerbala mji unaokaliwa na Waislam wengi wa Shia mji huu upo kusini mashariki ya mji wa Baghdad.
Rahim Kangezi akiwa katika picha na wadau mjini Kerbala.
Rahim Kangezi akipiga picha na wanajeshi wa jeshi la Kerbala.
No comments:
Post a Comment