ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 12, 2015

AJALI KAZINI KOCHA ABABULIWA NA MPIRA NA KUANGUKA KAMA HAJAVAA SUTI

Kocha alikula bonge la mweleka baada ya kupigwa na mpira wa nguvu wakati beki wake akiondosha hatari.
Ilikuwa ni mechi ya Serie A kati ya timu yake ya Inter Milan dhidi ya Genoa.
Kikosi cha Mancini kilimaliza dakika 90 na ushindi wa mabao 3-1.

No comments: