Gari ndogo ikiwa imeharibika vibaya baada ya kugongana na Basi la Meridian
Dereva wa Gari ndogo akiwa haamini kama amepona
Ajali hii imehusisha basi la abiria la Meridiani pamoja na gari ndogo binafsi.Dereva wa gari binafsi amenusurika kifo baada ya gari yake kuharibika vibaya.
Ajali hii imetokea maeneo ya Mkata barabara ya kwenda mikoa ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment