Darasa la Kiswahili hapa Washington DC na vitongoji vyake linaratibiwa na Jumuiya ya waTanzania ya hapa DMV
Sasa linafanyika kila Jumamosi kuanzia saa 9 kamili alasiri mpaka saa 11 kamili jioni
Anwani ni...
1700 April Lane,
Silver Spring, MD 20904
KARIBUNI NYOTE
2 comments:
msiwafundishe watoto Kiswahili cha shurubati bure.wafundisheni Kiswahili fasaha wakuu
Huyu nae alietoa comment vipi huna cha maana. Watu wanafanya mazuri wee na comments za kienyeji..at least watu wamejitolea kafundishe wewe basi hicho kiswahili fasaha..
Post a Comment