ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, January 24, 2015

DJ JERRY KOTTO NDANI YA KIOTA CHA HISAJE PARK BOKO JIJINI DAR ES SALAAM

 Dj Jerry Kotto dj wako wa miaka mingi akipata picha na kamera ya Vijimambo ndani ya kiota cha Hisaje Park kilichopo Boko jijini Dar es Salaam kiota maarufu kwa nyimbo za zamani (old school) kila siku kuanzia Jumanne hadi Jumamosi na hakuna kiingilio.
Mitambo ya kisasa ndani ya kiota cha Hisaje Park Karibuni.

No comments: