HERI YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
|
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band
aka FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchi ujerumani,inawatakia kila
heri na fanaka wadau wote katika kuadhimisha miaka 51 ya mapinduzi
ya Zanzibar,mapinduzi yaliyofanyika 12 Januari 1964 ambayo yaliwakomboa wanzibar walio wengi kutoka katika makucha ya Sultan,Mapinduzi yaliyomng'oa Sultan hadi kusahau kiremba kitandani.
Tunawapongeza wanzabar katika kuadhimisho ya miaka 51
ya mapinduzi,Amani,Upendo ,Umoja na mshikamano
ndio msingi wa maisha bora kwa wanadamu wote.
Yadumu mapinduzi ya Zanzibar ! Zidumu fikira za waasisi wa mapinduzi !
Mapinduzi haya ni yetu sote watanzania
No comments:
Post a Comment