ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 13, 2015

Karibuni Ibada ya Kuabudu na Kusifu - Jumapili Januari 18, 2015 Ibada itaanza saa kumi kamili 4:00pm (EST)

Ibada ya Kiswahili inakukaribisha Rasmi katika Ibada ya Pili ya mwezi wa Januari 2015
Kwa Baraka za Mungu tumebarikiwa kuanza mwaka 2015 kwa Ibada mbili kila mwezi, 
 Ibada ya pili itaongozwa na Kuabudu na Kusifu - Januari 18, 2015 Saa Kumi kamili 4:00pm
*** www.iykcolumbus.org ***

No comments: