ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 29, 2015

mapenzi yangu - rayc maisha ni safari je unamkumbuka huyu

2 comments:

Anonymous said...

Huyu alikuwa mzuri ukimuangalia sasa hivi uwezi kuamini ,watu wanabadilika ,mm maisha sio mchezo

Anonymous said...

sasa hivi pia yupo bomba unaudharau unene basi kuna wanaompenda kwa unene wake huu tena bado anajua kukatika huyooo na kichwani kimetulia sana hivi sasa.anawaka waka bado anadai kinoma noma mwanangu.