“Nawapenda sana Bongo Movie lakini chakusikitisha vile vichwa mnavyoviamini kwenye tasinia ndo masnichi wakubwa simtoke huko tafuteni kazi nyingne kama hamjasoma kama mimi jifunzeni kushona nguo kama mimi me sahivi na fundi wangu Mgece naingia class asubuh najioni nimeshachoka kutumikishwa na Wahindi ....kipaji changu kingine mitindo so najisogeza kwenye mitindo mbali mbali sio kubanana sehemu ambapo ampendani kazi majungu nakusnchiana kila siku .. Nawahindi awatetereki maana hao mnaowaita magwiji ndio mstari wa mbele kukandamiza .. sasa sijui lengo nini kupata wao tuu au basi tuu roho mbaya..Nikipata majina yao yote nitawawekea na mapicha yao..siongei kama movie star naongea kama mwananchi niaependa sanaa iliyonishinda nakujitoa bila matangazo..I hate u wanyonyaji nawachukia saaaaana” Wolper alimaliza
Hii ni kutokana na ule mvutano unaoendelea kuhusina na bei ya filamu za kibongo, wapo wanaosema ishuke na wengine wakitaka ibaki pale pale.
No comments:
Post a Comment