Muonekano wa gari la Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' baada ya kupinduka. Mbunge huyo akiwa pembeni kushoto.
Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' anusurika ajalini jioni ya leo baada ya gari yake kupata hitilafu ya breki na kupinduka mlima kitonga akitokea Mbeya kuja Dar.
1 comment:
Pole Mhe Sugu. Tukumbuke spidi inaua. Hata shangingi linapinduka. Tushukuru Mungu mtu yeyote hakupoteza maisha.
Post a Comment