ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 15, 2015

MHE. CHIKU GALLAWA AZINDUA MSIMU WA KILIMO KWA MWAKA 2015 KATIKA MKOA WA DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa akilakiwa na wananchi wa kijiji cha Damai Kondoa alipowasili kijijini hapo kuzindua msimu wa kilimo Mkoa wa Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa akiwaelezea wananchi wa kijiji cha Damai Kondoa malengo ya kuzindua msimu wa kilimo mwaka 2015 Mkoani Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa akiwaelekeza wakina mama wa kijiji cha Damai Kondoa namna bora ya kupanda kwa nafasi wakati wa uzinduzi wa msimu wa kilimo mwaka 2015 Mkoani Dodoma.

No comments: