ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 15, 2015

Mkutano wa Mfuko



Ndugu wanamfuko/Watanzania

Tunapenda kuwafahamisha  kutakuwa na mkutano wa wanamfuko wote siku ya Jumapili, tarehe 1/25/2015. Mkutano utafanyika saa kumi jioni (4:00PM) katika anuani ifuatayo:

35 East Stanton Avenue
Columbus, Ohio 43214

Katika mkutano huo, utapata nafasi ya ku-renew uanachama wako, kujiunga na mfuko na kupata nafasi ya kujielimisha zaidi juu ya mfuko. Tumeambatanisha Kanuni za Mfuko pamoja na fomu ya kujiunga kwa wale ambao wanataka kujiunga na mfuko. 

Tafadhali tuzingatie muda. Kufika kwako ndio kufanikisha mafanikio ya mkutano na mfuko kwa ujumla.

Shukran,
Uongozi wa Mfuko


No comments: