Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga akimkabidhi shada la ua Mhe. Katarina Revocatti, Msajili Mteule wa Mahakama ya Rufani mara baada ya kuapishwa na Mhe. Rais mapema siku ya Alhamisi tar. 08.01.2015.
Msajili Mkuu Mahakama ya Tanzania, Mhe. Ignas P. Kitusi akimpongeza Mhe. Katarina Revocatti kwa kuteuliwa kwake kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani (T).
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga, (kulia), Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Ignas P. Kitusi (Kushoto), Mhe. Katarina Revocatti, Msajili Mteule wa Mahakama ya Rufani ( katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa wa Mahakama katika hafla fupi ya kumpongeza iliyofanyika katika Ofisi za Mahakama ya Rufani (T) baada ya kuapishwa kwake na Mhe. Rais. (Picha na Mahakama).
No comments:
Post a Comment