ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 15, 2015

RIHANNA AKIWA AMETUPIA KITU CHA KIAFRIKA

Fundi wa nguo hii ni Stella Jean ikiwa imeshonwa kwa kitambaa cha kiafrika na  nguo hii inauzwa kwa bei ya Dollar 1,069  lakini sasa hipo kwenye sale ya 40% off unaweza kupata kwa Dollar 641. Habari ndiyo hiyo ukiweza jipinde na wewe maana ndiyo kipindi cha tax hiki ukipata tu jibullet bullets na kitu lichovaa Rihanna kiroho safi.
Stella Jean draws inspiration from vibrant African wax prints to create this multicoloured Barbara dress. It’s cut to a flattering, 1950s-style silhouette, with the label's signature blue and white striped shirt sleeves and point collar creating a layered effect. Wear this striking design with minimal accessories and let it take centre stage.

No comments: