ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, January 10, 2015

Shujaa Muislamu katika shambulizi Paris

Lassana Bathil

Mamia ya wanajeshi wanashika zamu mjini Paris baada ya siku tatu za ugaidi zilizouwa watu 17, huku taarifa zikitokeza kuhusu jinsi mfanyakazi Muislamu wa supermarket ya Wayahudi mjini Paris alivyowaficha wateja 15 pamoja na mtoto mchanga wa mwezi mmoja wakati duka hilo liliposhambuliwa na gaidi.





Aliwaficha wateja kwenye chumba cha barafu.
Lassana Bathily, kijana wa asili ya Mali, aliiambia televisheni ya Ufaransa kuwa aliwaongoza wateja waliokuwa wamebabaika, hadi chumba cha chini kwa chini.
Alizima mtambo wa barafu na kuwaomba wakae kimya na alirudi juu dukani.
Baada ya duka hilo kukombolewa na askari wa usalama, Lassana Bathily alisema wateja walimshukuru kwa kunusuru maisha yao.

9 comments:

Unknown said...
This comment has been removed by the author.
Anonymous said...

Ndugu Meki Ngoga hujaambiwa ameuwa mtu yoyote na wala ktk supermarket hapakutokea mauaji.Kisa muislam basi unamuhukumu,kuwa na utu.

Anonymous said...

na wewe hapo juu uwe unasoma vizuri kwanza ndio utoe comment sio unakurupuka tu

Anonymous said...

Kajifunze kusoma paka we"

Anonymous said...

Umeelewa habari jomba au unacomment kama umevuta bangi

Anonymous said...

Wee meka hivi umesoma habari vizurii au una comment tuu tokana na chuki zako binafsi. Au hujui kusoma kiswahili vizuri. Umeielewa..kweli hiyo habarii?

Anonymous said...

Meki Ngoga, unajua kusoma?

Anonymous said...

meki ngoga bangi mbaya hiiyo unayofutiya tena chooni kwenye ghetto lako la basement hebu acha mara mmoja unaona sasa inakuchengua hata husomi habari unasoma kichwa cha habari na unaaza kukurupuka na kukoment ujinga ujinga tuu.

bangi mbaya meki ngoja tena ile unayofutia chooni shauri yako kama unastress za kubeba maboksi bora upoa na bia za matunda BUDWEISER na UACHE MARA MMOJA KUVUTA BANGI CHOONI ITAKUTOA THAMANI YAKO WANGU NA UTU WAKO .....NAKUJALI SANA NA NAKUJUA ACHA KUVUTA BANGI CHOONI INAKUDHURU HII BANGII

Anonymous said...

The fact that the whole world is against one religion it shows just how powerful the religion is.Islamu is peace

meki ngoga acha mkuu chuki zako zidi ya uislamu.uislamu ni kaa kifo ukikitaka au usikitake kitakufika tu na kama sunameas.