Licha ya vyombo vya habari Tanzania kuyapalilia mapenzi ya wawili hao, hali ni tofauti nchini Uganda ambako mapaparazi wamekuwa wakiibua mambo ya sirini ya msanii na mwanamama huyo tajiri nchini humo.
Kikubwa kinachozungumziwa ni kuhusu tabia ya Zari kutoka na wanaume tofauti. King Lawrence, anayedaiwa kuwa mpenzi wa Zari ametangaza dau la Dola 40,000 kwa Diamond ili amwache dada huyo
WASWAHILI wanasema ngoma ikivuma sana hupasuka. Msemo huu unalandana na penzi la Zari ‘The Boss Lady’ na nyota wa muziki Afrika, Diamond Platnumz, baada ya mapenzi yao kuchukua sura mpya.
1 comment:
tatizo la diamond anatafuta wanawake wanamzidi kete,kiakili na pia wanajulikana na kuvuma kwa sana ndo maana anachagwa .
tusubiri tu tutakuja kusikia wema kishaingia tena mikononi mwake, unajua wema ana roho nzuri sana sema bado utoto unamsumbua na ulibukeni other wise aaah angepoa.
zarinah/zari yeye ni mwanamke anayejiamina na ana connection kibao za watu maarufu na pesa ipo kiza izoe pesa na pesa imeshamzoea;na anapendwa na wengi ndo maana wanaume wanamtolea dau.
mkanda mzima nikwamba diamond analipiza kisasa kwa wema kununuliwa gari na PADEJEE WAKIZAIRE.Ilimuuma na akaapa atamlipia kwa machungu ndo maana anatoka na zarina/zari boss lady katoko matawi ya juu.
Post a Comment