ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 15, 2015

SIMBA SC WATUA JIJINI DAR NA KOMBE LA MAPINDUZI

Kipa wa Simba SC, Manyika Peter akikabidhi Kombe la Mapinduzi kwa mashabiki wa timu hiyo mara baada ya kuwasili kutoka Mjini Zanzibar leo.

KIKOSI cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC kilichotwaa Kombe la Mapinduzi jana usiku kwa kuifunga Mtibwa Sugar kwa penalti 4-3 kimewasili jijini Dar leo kikitokea Mjini Zanzibar.

No comments: