ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 12, 2015

Ujumbe wa Walimu kutoka Kiruna Sweden Wakiwa Makunduchi

Ndugu Moh'd Simba wa pili kushoto akizungumza wakati wa kukabidhi baiskeli 18 kwa walimu kutoka Kiruna Sweden. Sherehe ya kukabidhi baiskeli hizo ilifanyika Skuli ya Makunduchi na kuhudhuriwa na wanakijiji. Mgeni rasmi kwenye hafla hiyo ni ndugu Mwita Masemo, mwenyekiti wa Kamati ya wadi za Makunduchi ambayo imeanzisha uhusiano na Manispaa ya Kiruna. Chini ya mashirikiano wanawake wa Makunduchi watafundishwa ujasiriamali, kiingereza, kompyuta na demokrasia.
Miongoni mwa wazee waliohudhuria kwenye sherehe ya kukabidhi baiskeli
Ujumbe kutoka Nchini Sweden wakiwa katika picha ya pamoja nac wenyeji wao wakiwa katika Kijiji cha Makunduchi na Walimu Wanakamati wa Wadi ya Makunduchi na wanafunzi watakaoaza mafunzo ya UjasiriamalZanziNews Blog

No comments: