ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 9, 2015

Unbelivable: Marehemu Fidel Odinga Alikuwa ni Zaidi ya Kambi ya Jeshi Tizama Silaha zilizokutwa kwake.

Fidel Odinga na mkewe
Polisi kenya ambao walikuwa wakifanya uchunguzi juu ya kifo cha mtoto wa waziri mkuu wa zamani wa nchini hiyo Raila odinga, Fidel Odinga na Repoti ya polisi inasema kwamba ndani ya Nyumba yake kulikuwa na risasi ndogo na risasi ya kurushia bomu na zaidi ya risasi 1900 ndaniya nyumba yake iliyoke Karen jijini Nairobi,
Pia walifanikiwa kukuta jacket proof zinazotumika kuzuia risasi na miwani za usiku maarufu kama and night vision goggles. Polisi wanasema Marehemu Fidel Odinga alikuwa na usajili wa kumiliki silaha ndogo
Picha za Matukio kwenye Msiba wa Mtoto wa Raila Odinga, Fidel Odinga Kisumu.
January 4 mwaka 2015 Kenya imeingia kwenye majonzi baada ya kumpoteza mtoto wa Waziri mkuu wa zamani Raila Odinga, fidel Odinga ambaye alifariki nyumbani kwake ghafla baada ya kurudi kutoka matembezi na kufikia kumpumzika na hadi umauti ulipomkuta. Leo mwili wa marehemu Fidel Odinga umesafirishwa na Ndege ya jeshi la kenya Kenya Air Force hadi katika mji wa kisumu ambapo msafara wake utaanzia hapo hadi kwenye kijiji cha Opoda kilichopo kisumu Kenye na tayari kwa maziko siku ya kesho Jumamosi.

No comments: