Karibu ZuRii House of Beauty duka jipya na la kisasa la vipodozi litakalo funguliwa rasmi Jumatatu 12 Jan 2015. Duka lipo Dar Free Market 1st Floor Shop No F4. Wako wazi kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa nne usiku. Hapo utapata kila kitu kuanzia Lotions, Dawa Za Nywele za watoto na watu wazima, Mafuta mazuri ya nywele na mwili kwaajili ya watoto, Queen Elisabeth (Jumla na Reja Reja), Make Ups, Perfumes yaani cosmetics na urembo wa kila aina. Vitu vyao ni 100% original na vyote vinatokea UK na Marekani Bei zao ni very affordable. Pia Kuna nywele aina zote kuanzia huma hair za kawaida na Natural Human Hair like Brazilian, Peruvian, Closures na ma lace wig ya ukweli. Bei zao ni nafuu sana karibuni mjionee wenyewe. Wamiliki wa masalon ya kike, kiume na kucha pia mnakaribishwa kujipatia bidhaa zenye ubora wa hali ya juu. Wasiliana nao kwa kuwafollow kupitia acc yao personal ya: @officialjestinageorgeblog au @zuriihouseofbeauty Contact details +255 752 019 597 au +255 65 918 9769 Whatsapp ni+447557304940 (Business Enquires Only Please)..... Email: jestinageorge@gmail.com MSIKOSE SIKU YA UZINDUZI BEI ZA SALE! Karibuni!!! Regards Tone Multimedia Company Limited Plot No.223/225 Block 46, Umoja Street Kijitonyama P.O Box 32529 Dar es salaam Tanzania Tel +255 22 2772919 Fax +255 22 2772892 E-Mail info@tonemg.com Facebook: www.facebook.com/blogszamikoa Web: www.tonemg.com |
ANGALIA LIVE NEWS
Saturday, January 10, 2015
ZuRii House Of Beauty Kufunguliwa Rasmi 12 Januari 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment