Pambano la pesa
nyingi katika historia liko mbioni, Mayweather ameonyesha kopi ya mkataba
uliosainiwa pamoja na Manny Pacquiao katika mitandao ya kijamii. Mpambano huo
uliokuwa katika matayarisho kwa muda wa miaka mitano utafanyika MGM Grand Las
Vegas.
Floyd Mayweather |
Utakuwa ni
mpambano ghali zaidi kutokea katika historia za ngumi zakulipwa, utagharimu
jumla ya Dola za Kimarekani 250. Katika pesa hizo inaeleweka kuwa Mayweather
anauhakika wa kuchukuwa Dola milioni 150 wakati Manny Pacquiao atachukuwa dola
za kimarekani milioni 100.
Sikuzote Mayweather
amekuwa mshikadau mkubwa katika mikataba yake yote anayoingia kupelekea yeye
kupewa kile anachokitaka.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake