Mwimbaji Lady JayDee alisha imba kuwa "Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli". Ukiona upo na mpenzi na yeye hana wivu kwako basi hana mapenzi ya kweli kwako.
Picha inayo muonyesha Nasib Abdul aka Diamond Platnumz akichungulia kwenye simu ya mpenzi wake 'Zari Hassan' ime make headline kwenye mitandao ya kijamii.
Lakini lakufurahisha ni maneno aliyo yaandika mama huyo kuhusiana na picha hiyo kuwa alizani ni yeye tu huwa anatabia ya kuchungulia nini Diamond anachokifanya kwenye simu kumbe hata Nasib naye huwa anachungulia nini The Boss Lady anakifanyaga kwenye simu.
Haya ndiyo maneno ya Zari "Thought i was the only one with this peeping habit��, your so busted Boo..
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake