Viongozi: Wageni rasmi wa sherehe za Muungano Mhe: Mwigulu Nchemba (wapili kulia) akifuatiwa na Balozi Mulamula, pamoja na Balozi wa Waziri wa Nchi Zanzibar, Ofisi ya Rais na MBM Dr. Mwinyihaji Makame, (wakwanza kulia) Balozi Mwinyi (kulia)Viwe Juma,wapili kulia ambae ni Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara ya Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) wakimkabidhi jezi nahodha wa timu ya Zanzibar Heroes Abuu Qullatein katika Sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Jijini Washington DC. Wasimamizi wa timu ya Zanzibar Heroes Seif Ameir na Dedie Rouba wakionyesha jezi walizodhaminiwa na (PBZ) Benki ya Watu wa Zanzibar.Viongozi: Wageni rasmi wa sherehe za Muungano Balozi Mulamula(kulia) pamoja na Balozi wa Waziri wa Nchi Zanzibar, Ofisi ya Rais na MBM Dr. Mwinyihaji Makame (wapili kushoto) Balozi Mwinyi, (kushoto) wakikabidhi kombe kwa makepteni wa timu ya Kilimanjaro na Zanzibar HeroRais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn Iddi Sandaly akikabidhi jezi kwa nahodha wa Kilimanjaro Seif NdossaMkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Juma Amour, akizungumza machache kuhusu kazi na utendaji wa kazi za Benki hiyo ya Watu wa Zanzibar (PBZ) na malengo yake wakati wa hafla hiyo ya futari iliyofanyika Aug 8, 2012 katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji Juma Amour wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) amethibitisha udhamini wa benki hiyo baada ya kufurahishwa na mechi ya timu hizo iliyokuwa na upinzani mkubwa mechi iliyochezwa April 27, 2014 kwenye viwanja vya Greencastle Park.
PBZ wameahidi kudhamini Jezi za timu zote ikiwemo gharama za uwanja wa mechi hio inayosubiliwa kwa hamu na mashabiki wakiwemo wachezaji wenyewe ambao mwaka jana kulikuwa na upinzani mkali kutoka pande zote mbili.
Afisa Suleiman Saleh ambaye kwa sasa yupo Tanzania ameishapata jezi za timu zote mbili.
No comments:
Post a Comment