Tembaphoto akiwa na mama mwenye nyumba wake siku ya sherehe za miaka 38 za kuzaliwa kwa CCM. Sherehe zilifanyanyika New York na kuudhuliwa na Watanzania kutoka kila pande za Marekani. Na Mhe.Ridhiwani Jakaya ambae ni mbunge wa jimbo la Chalinze kupitia chama tawala CCM kuudhulia na kutoa hotuba kama mgeni rasmi wa sherehe hiyo.
Hapa ni Miss Maundi katibu wa vijana wa CCM New York akipata ukodak juu ya zuria jekundu
Black is beauty |
Kwa picha zaidi tembelea http://tembaphoto.com/ |
USHA MBA MPAKA UGENINI,HAYO MA VYAMA SI MRUDI HOME MKAGOMBEE UCHAGUZI UMEFIKA
ReplyDeleteLove thy Country and Party anywhere, everywhere. Long live Tanzania! Kidumu Chama cha Mapinduzi!
ReplyDeletekuna change moto naona huko marekani ndo maana ma ccm wanakuja kila leo kuwaziba midomo ya wanaharakati wa ukombozi wa kweli wa Tanzania.
ReplyDeletenatamani na mimi ningegaiwa hiyo mipesa ya escrow iliyoletwa.