Siku ya Jumanne Februari 17, 2015 katika pitapita ya Vijimambo katika Mall maarufu DMV iliyobeba jina la Pentagon City iliyopo Virginia ilikutana uso kwa uso na mwanamuziki wa kizazi kipya Mwana FA akiwa ameongozana na mfanyabiashara aliyejulikana kwa jina moja la Salah mwenye maskani yake nchini China wakikata mitaa ndani ya mall hiyo na kujipatia vitu viwili vitatu'
Mwana FAS akiwa moja ya maduka ya ndani ya Mall ya Pentagon City
Ukiona hivyo ujuwe Dj luke kampeleka mwanamke mall ya virginia mpunga mpya ,
ReplyDelete