“Nawatakia safari njema ndugu zangu mungu awatangulie kwa kila jambo najua mungu ndio anayepanga kuna mengi ila hili limeanza kwenu na milango mnaifungua wazi msiwe kama wangine wenye kucheka machoni uku moyo umekunjama. Hahahahaha.alianza Wastara . Mona . Sasa zamu yenu Mlela na Esha mkatuwakilishe vyema . USA . CHAO pamoja wasaniii wadogo Steven Mengere 'Steve Nyerere’ aliekuwa raisi wa Bongo Movie Unity alibandika andiko hili mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya wawili hao hapo juu.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake