Mama kijacho Marrisa katika picha ya pamoja na Randy ambaye ndiye baba wa mtoto katika sherehe yao ya utarajio wa mtoto wao iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.
Farida akimtunza Salma minoti kwenye sherehe ya utarajio wa mtoto ya Marrisa iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani. Marrisa amelelewa na Salma tangia alivyokua mdogo.
Nargis Ameir akisherehesha sherehe hiyo ya utarajio wa mtoto ya Marrisa iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Mkutano wa Beijing unaendelea kuleta mafanikio sasa Bi Mariam Mashaka ni Dj na ndiye aliyetoa burudani ya muziki kwenye shsrehe hiyo ya utarajio wa mtoto ya Marrisa.
Bi Baybe Mgaza akipata ukodak wa kumbukumbu.
Wageni waalikwa katika picha ya pamoja.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment