Monday, February 23, 2015

TASWIRA YA VIVAZI VILIVYO TAMBA KWENYE SHEREHE YA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZILIZOFANYIKA NEW YORK

 Kati ya watu waliovunja kabati na kutupia vitu classic ni pamoja na Mhe. Ridhiwani kama unavyo muona hapa akiingia ukumbini kwa kujiamini sambamba na viongozi wa Tawi la CCM New York. Mhe. aliongea mambo machache juu ya maendeleo ya nchi yetu Tanzania na mipango ya maendelea inayofanywa na chama tawala CCM. Na aliomba Watanzania waishio ughaibuni kuwa kitu kimoja bila kujali dini, kabila wala chama wote ni Watanzania na umoja na upendo ndiyo nguzo yetu ya kujivunia popote pale tulipo. 
Mhe. Ridhiwani akitabasamu mbele ya ukodak wa Vijimambo alivyo kuwa akiingia ukumbini jitiririshe chini kuona jinsi gani  watu walitupia vivazi usiku huo wa sherehe za kuzaliwa chama cha mapinduzi CCM zilizofanyika New York.


1 comment:

  1. watanzania wa marekani kwa kweli mko juu mmeletewa sarakasi huku huko.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake