Msanii wa kizazi kipya Mwana FA (kushoto) wakipata chai katika moja ya mgahawa New York City kujaribu kukabiliana na kipupwe kinachopuliza jiji la wasiolala wengine katika picha kutoka kushoto ni Dj Rich Maka. NY Ebra na Swalah Said.
NY Ebra akipata supu kuikabili baridi ya New York City
Rich, Fa na Swalah wakiwa Jfk tayari kupanda pipa kurudi Tanzania na Rich kushoto akiwaaga marafiki zake.
No comments:
Post a Comment