Friday, February 20, 2015

WACHINA SIO TU KUCHOMA MAHINDI MPAKA NYIMBO ZA KISWAHILI WAMO HAPA WAKIIMBA WIMBO WA MALAIKA

1 comment:

  1. na mnachekelea pole pole wanainga hapa bongo land baada ya miaka 10 au 20 nchi yote na mali asili yote itakuwa chini yao.mnajua wameshapewa vitalu vinavyotoa makaa ya mawe na gesi uli signiwa mkataka huu chap chap bila hata kupitiwa wala kujadiliwa mnayajua hayo

    kalaga bao kaeni na kukenua midomo na kucheka cheka tuu nchi ndo inakwenda zake hiyo sijui wewe na mimi kizazi chetu kitakuja kurisi nini na sijui utanganyika wetu tutakuja kujitamba je.

    itafika siku mimi na wewe utanganyika wetu utakuwa wa jina but si wanchi yetu tena tutakuwa hatuna chetu.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake